FILAMU INAYOHUSU MAISHA YA PISTORIUS YAPIGWA STOP,CHANZO - teknomovies
FILAMU INAYOHUSU MAISHA YA PISTORIUS YAPIGWA STOP,CHANZO

FILAMU INAYOHUSU MAISHA YA PISTORIUS YAPIGWA STOP,CHANZO

Share This
Familia ya mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius aliyefungwa kwa kosa la kumuua mpenzi wake Reeva Stenkamp imetoa tamko lenye nia ya kwenda mahakamani kuzuia kutolewa kwa filamu inayohusu maisha ya mtoto wao Oscar Pistorius.


Filamu hiyo iliyopewa jina la la Blade Runner Killer inatarajiwa kutoka Marekani mwezi November mwaka huu.

Oscar Pistorius alihukumiwa kifungo cha miaka sita jela mwaka 2016 baada ya kukutwa na hatia ya kumuua aliyekuwa mpenzi wake Reeva Steenkamp.

Nimekuwekea Trailer hapa.


Usisahau kutufollow instagram na Twitter @TeknoMovies na pia ku Subscribe youtube channel ya DM Online TV

Pages