Makoma Collection Songs,Kali Zao Zipo Hapa - teknomovies
Makoma Collection Songs,Kali Zao Zipo Hapa

Makoma Collection Songs,Kali Zao Zipo Hapa

Share This

Kwa mpenzi wa Muziki kwa Bongo katika miaka ya 2000 itakua ni kazi kutolijua kundi hili machachari la Makoma. waliachia ngoma nyingi sana ambazo ziliweza kutamba sana kwa miaka Hiyo.

katika Post hii katika blogu yako nimeamua kukuwekea baadhi ya Nyimbo zao maarufu ambazo watu wengi wanateseka sana kuzipata na pia kama bado unaweza ukabofya hapo chini kujua jamaa wapo wapi.
SOMA PIA: WAPO WAPI MAKOMA?








Usisahau Kuungana Nasi Kupitia Twitter na Instagram @Teknomovies

Pages