Ubongo Wa Mwanadamu Unafanya Kazi Kwa Nguvu Ukiwa Na Njaa#TEKNOFACTS - teknomovies
Ubongo Wa Mwanadamu Unafanya Kazi Kwa Nguvu Ukiwa Na Njaa#TEKNOFACTS

Ubongo Wa Mwanadamu Unafanya Kazi Kwa Nguvu Ukiwa Na Njaa#TEKNOFACTS

Share This
Ubongo wa mwanadam huwa unafanya kazi kwa nguvu zaidi (IQ inaongezeka) wakati utumbo unapojifinya kwa njaa!

Majaribio mengi ya kisaikolojia yameonesha kwamba wanafunzi huwa wanafanya mitihani yao kwa ufanisi mkubwa zaidi wanapokua na njaa kuliko wanapokua wametoka kula. Wale wanaofanya kazi ya kuchapa (typists), Makatibu Muhtasi, Makarani na wafanyakazi wengine wa vitengo kama hivi wanafanya kazi zao kwa ufanisi mkubwa zaidi na wanaweza kuchapa sehem kubwa ya kazi kwa makosa machache zaidi matumbo yao yanapokua tupu kuliko wanapokua wameshiba.

Hata sex huwa inafanyika kwa ufanisi mkubwa zaidi ukifanya tumbo liko tupu. Sasa wale mliozoea kuwambia wapenzi wenu "kula ushibe maana ukitoka hapa shughuli inayofuata si ya kitoto" nadhani mngefanya kwanza kwenda kuwauliza makocha au wanamichezo ni kwanini huwa hawashauriwi kula halaf waingie uwanjani muda mfupi baada ya kula!!

Mwandishi@DarasaHuria

Pages