Ujio Mpya Wa Jackie Chan Huu Hapa - teknomovies
Ujio Mpya Wa Jackie Chan Huu Hapa

Ujio Mpya Wa Jackie Chan Huu Hapa

Share This
Ujio Mpya wa Jackie Chan katika mwezi Oktoba anatuletea kazi hii ambayo inakua kazi yake ya kwanza Ukiachana na Kung Fu Panda, Kwa mwaka 2017 Toa na zile The spy Next Door na Karate Kid kupewa promo sana Ulaya na nchi zingine za Kimagharibi, Ambapo itaachiwa tarehe 13 katika mwezi huo Oktoba.

Hii filamu imetokana na Novel iliyokwenda kwa jina la The Chinaman Ikiwa imeandikwa na Mwandishi Stephen Leather Huku filamu Ikiwa imepewa jina La The Foreigner na imeongozwa na mtaalamu  Martin Campbell anayefahamika vyema kwa kuongoza pia Filamu ya Green Lantern.

Ndani Utaziona sura hizi Hapa baadhi, ukiachana na Jackie, pia utamuona mtaalamu Pierce Brosnan kama ulitizama Filamu za James Bond kuanzia miaka ya 1995 mpaka 2002,Basi aliyecheza Filamu zile nne, ndo mtaalamu huyo, pia Filamu zingine kama The November Man iliyotoka mwaka 2014 nayo ulimuona.

Pia utampata Charlie Murphy, Orla Brady Huyu mkiona sura Yake mtamkumbuka Kutokea Into the badlands, Mke wa Kwanza Wa Quinn.

PITA HAPA PIA: PAKUA SERIES YA KIKOREA TUNNEL

Katie Leung kwa wapenzi wa Harry Potter, nazani mtakua mnakakumbuka kale kachina Kapenzi Ka Harry, Ulimuona kwenye Goblet Fire na Hii Filamu pia Utamuona... Na wengineo weengi.

Story kwa Ufupi: Jackie akiwa anaishi London na mtoto wake, Kuna siku Shambulio La Bomu linatokea na Mtoto wake anafariki.
Akiwa London Alikua Akiishi Kiustaarabu Huku Akificha Makucha Yake Ya Nyuma, Baa da ya Kifo cha mtoto wake... Alimsha Dude, Ambapo Alipelekea ugomvi na baadhi ya maafisa wa Uingereza ambao Ndio walikua wakihusika na shambulio Hilo, Ikiwa ni mambo ya Kisiasa hapo ndo mziki ulipoanzia.
             
     TAZAMA HAPA CHINI TRAILER.


            


Pages