The Secret Cycle Full Download Now - teknomovies
The Secret Cycle Full Download Now

The Secret Cycle Full Download Now

Share This
Baada Ya Mama yake kufariki binti mdogo Cassie Anaenda kuishi na Bibi Yake katika mji mwingine na kuanza maisha mapya kabisa katika mji huo. 

Katika harakati zake katika mji huo anakutana na marafiki kadhaa ambao wanaanza kumwambia mambo ambayo kwake kama hayaelewi hivi, I kwamba yeye ni Mchawi ambae ana nguvu kubwa sana... Na kwa pamoja walikua wanamsubiria ili wakamilishe Cycle yao ya Uchawi. 

Hakuamini, lakini alianza kuamini pale alipokikuta kitabu cha siri cha mama yake ambacho ndicho kilijaa Udambwi dambwi mwingi sana wa Jinsi ya Kukamilisha Cycle na Mambo mengine... Hivyo nao wanaungana ili kukamilisha Cycle Hiyo.. Lakini kuna hatari kubwa sana zinazowakabiri kabla Hawajatimiza Hilo Lengo lao. 

Ina Episodes 22 Tu... Lakini baada ya Hapo ilipigwa Paa la Juu... Ilikua mwaka 2011 ndo ilitoka... Watu wengi hii Huwa Wanaitamani kurudi lakini The Cw chaneli hata bado hawana mpango huo mpaka sasa. 

Ipate Kwa Kubofya Hapo Chini

Pages