Extortion Tunayo Hapa Pia. - teknomovies
Extortion Tunayo Hapa Pia.

Extortion Tunayo Hapa Pia.

Share This
Story Kwa Ufupi... 

Hii Ni Jamaa Anaenda Visiwani Kula Bata Na Familia Yake, Yeye Mke Na Mtoto.

Wakiwa Huko Wanaomba Kupewa Boti Ili Wakacheze Kwenye Bahari.

Katikati Ya Bahari Mtoto Anaona Kisiwa Na Anawalazimisha Wazazi Wake Wampeleke.
Wanafika Kisiwani Na Kuzunguuka Lakin Wakati Wanataka Kurudi Boti Inagoma Kuwaka, Hawana Chakula Wala Maji.

Wanakaa Huko Kwa Usiku Mmoja Na Kesho Yake Inatokea Boti Ya Kuwapa Msaada.

Msaada Unakuwa Na Masharti Magumu Sana, Jamaa Anatakiwa Atoe Pesa $1M Ili Aokolewe Huko.

Na Mshikaji Anakubali Kwani Mke Na Mtoto Wake Walikuwa Hawana Hata Uwezo Wa Kutembea.

Mshikaji Anapigwa Na Kitako Cha Bunduki Na Anapoteza Fahamu, Anakuja Kuzinduka Hamuoni Mkewe Anapewa Sharti La Kukusanya Hizo Pesa Ndiyo Atamuona Mkewe Kwani Ameachwa Kule Kisiwani.

Jamaa Anafanikiwa Kupata Pesa Kidogo Zinazowaridhisha Washikaji Lakin Washkaji Wanambeba Na Kwenda Kumtupa Baharini Bila Kumuelekeza Mkewe Na Mtoto Wake Wako Wapi.

Chini Ya Lionsgate Mzigo Umetoka March 16, 2017.

Drama/Crime Ndio Genre Ya Hii Na Zitakuchukua Dakika 109 Au Niseme Lisaa Limoja Na Dakika 49 Kuitazama.

Kama Ulimmis Bethany Wa One Tree Hill Amecheza Humu... Na Yule Msomali Wa Captain Phillips Ndani

Ipate Hapo Chini, Kwa Kubofya Unachokiona.

Pages