Dark Angel Pita Nayo Yote Hapa - teknomovies
Dark Angel Pita Nayo Yote Hapa

Dark Angel Pita Nayo Yote Hapa

Share This
Ni mojawapo ya Series ambayo iliboa watu sana, sio kwamba ilikua mbaya hapana, Bali kwa kitendo walichofanya waandaaji Kwa kuipiga chini baada ya Season ya pili tu, kutoka na low Rating zilizoshuka kwa kiasi kikubwa ndipo ukawa mwisho wa Series Hii Iliyozidi Kumng'arisha zaidi Jessica Alba.

Mpaka mchongo unaisha, Zilikua Zimekatika Episodes 43,Zikiwa Zimewekwa katika Seasons 2.

Bofya HAPA Ili kuweza kushusha huu mzigo.

Hapo Utaona S01 na Pia S02, So hapo itabaki kazi kwako kuchagua Ipi unayoitaka.

Pages