Queen Of The South Mzigo Mzima Huu Hapa. - teknomovies
Queen Of The South Mzigo Mzima Huu Hapa.

Queen Of The South Mzigo Mzima Huu Hapa.

Share This
Moja ya Series Nzuri sana, ambayo kibongo bongo dizaini kama watu hawajaistukia, ila wale wanaopenda kweli series hii itakua kwao sio ngeni.

Mzigo ulianza kuachiwa tangu june 23 mwaka 2016,na ukaruka kwa episodes 13 tu huku ikilamba kwa kila EPisode wastani ya views 1.20 M.

Mwanamke Anafanya Kazi Chini Ya Madrug Lord Wawili, Baada ya Kuzijua Mbinu Zote Wanazotumia Sasa Anachoka Kuwa Mtumwa Anahitaji Kujenga Empire Yake, Ili Awe Queen, Yes Queen Of The South. 

Kama Hujawahi kuitizama mpaka sasa, usihofu nimekuwekea Link ambayo itakupeleka kwenda kuushusha mzigo kuanzia Season ya 1,Episode ya 1 na Pia Season Ya Pili Imesharudi, Ambapo mpaka sasa imetoka Episode 01..na Zinaendelea Kutoka. 

BoFya HAPA, ila Hakikisha Unatumia Uttorrent or Bittorent App. 


Pages