Picha Tatu,Kutoka Location Marekani#Power - teknomovies
Picha Tatu,Kutoka Location Marekani#Power

Picha Tatu,Kutoka Location Marekani#Power

Share This
Leo Asubuhi Nimetumiwa Picha Tatu Na Rafiki Yangu Ambaye Yupo New York City Marekani..

Tulikua Tunapiga Story Za Hapa Na Pale, Mwisho Akanambia Kua Leo Asubuhi Alipita Maeneo Alikuta Watu Wako Location Njiani.. Nilimuuliza Maswali Kadhaa Mojawapo Niliingiza Tu Utani Kwamba Ningeona Mimi Basi Ningechelewa Nakoenda, Nae Alinijibu Kua Hata Yeye Alichelewa Anakoenda Ila Hua Hawaruhusu Kuwashangaa Wanapo Igiza.

Swali Lingine Nililo muuliza Ni Kuhusu Uuzaji Wa Movies Kwa Huko System Ikoje.. Na Majibu Yake Yalikua.. Mara Nyingi Huwa Zinaoneshwa Kwenye Cinemas Na Mwisho Huja Hutolewa Katika Mfumo Wa DVD system Ya Blue Ray.. Ila Kitu Kikubwa Inachotakiwa Kujua Ni Kua Kwa Nje, Ukikamatwa Kutumia Njia Za Panya Kujinufaisha Kama Kutumia Torrent.. Kifungo Chake Ni Kama Umebaka.

Kuna Story Nyingi Bado Tunaendelea Kuzifanyia Kazi Na Tutaendelea Kukusogezea Hapa Hapa.. Tazama Picha Hizi Chini...

Hii Ni Picha Ya Location Ya Series Ya POWER wakati Wakiandaa.. Eneo Ni Columbia University 


Hizi Picha Mbili Za Juu, Hiyo Ni Location Kutoka East 2nd Street, Manhattan NYC

Credit by @Otuckwilliam

No comments:

Post a Comment

Pages