Picha Kutoka Duka La Uuzaji Wa Filamu,Kutoka Marekani - teknomovies
Picha Kutoka Duka La Uuzaji Wa Filamu,Kutoka Marekani

Picha Kutoka Duka La Uuzaji Wa Filamu,Kutoka Marekani

Share This
Bado Mapicha Picha Baadhi Toka Marekani Mchizi Wangu Anaendelea Kunitumia, Na Safari Hi Alitembelea Baadhi Ya Maduka Official Ambayo Yanauza Movies..

Duka Alilotembelea Linaitwa BEST BUY Ambalo Ni Duka Maalumu Kwa Mambo Ya Movies.. Na Ni Maarufu Sana kwa Pande Za New York City Ambapo Mchizi Wangu Ndo Anapatikana....Lipo 14 Street Union Square..

Na Ukitizama Picha Vizuri Utagundua Kua Kila Movie Ina Bei Yake Huku ....Nyingi Zikiwa Zimeanzia $19 ..Kibongo Bongo Ni Sawa Na 36,000/=...

Ko Kwa Nje Ukimnunulia Movie Baby Wako, Hiyo Ni Zawadi Tosha Sana.. Ebu Tazama Picha Chini...



Mpya mpya hizi hapa zikiwa  zimewekwa katika shelfu lake



Movies Zingine Hua Zinawekwa Katika Shelfu lake Lenyewe Kama Hii


Picha Zote na Mshikaji wangu ambae alikuwa marekani,Otuck William

No comments:

Post a Comment

Pages