1. Genevieve Nnaji. Genevieve Nnaji alianza kuigiza akiwa na umri wa miaka 8. Ameshinda Tuzo ya mwigizaji bora chipukizi Afrika mwaka 2005. Ameshiriki kwenye filamu zaidi ya 50 ikiwemo filamu ya “Stand By Me” na “Death Warrant”.
3. Stella Damasus-Aboderin. Stella Damasus-Aboderin alishiriki kwenye tuzo za Best Africa Movie km Best Africa Actress mwaka 2009. Ameshatokea kwenye movie zaidi ya 60 ikiwemo “Never Saying Goodbye” na Cinderella.
4. Kate Henshaw-Nuttall. Kate Henshaw-Nuttall kwa mara ya kwanza ametokea kwenye filamu ya “When the sun sets” mwaka 1993.
5. Ini Edo. Ini Edo alianza kuigiza mwaka 2003 kwenye filamu ya “The One I trust” na mpaka sasa ameonekana kwenye filamu zaidi ya 60.
No comments:
Post a Comment