ZAMBIA : 8 WAFARIKI NA ZAIDI YA 20 WAJERUHIWA WAKIGOMBEA CHAKULA CHA BURE. - teknomovies
ZAMBIA : 8 WAFARIKI NA ZAIDI YA 20 WAJERUHIWA WAKIGOMBEA CHAKULA CHA BURE.

ZAMBIA : 8 WAFARIKI NA ZAIDI YA 20 WAJERUHIWA WAKIGOMBEA CHAKULA CHA BURE.

Share This



Jeshi la Polisi nchini Zambia limethibitisha vifo vya watu nane(8) na majeruhi zaidi ya 20 vilivyotokana na kukanyagwa katika vurugu zilizotokea kwenye sherehe iliyoandaliwa na kanisa Jijini Lusaka.

Vurugu hiyo ilitokea baada ya waandaaji wa shughuli hiyo kuanza kugawa chakula kwa waliohudhuria shughuli hiyo tarehe 5 Machi.

Waliofariki ni wanawake 6, mwanaume mmoja na mtoto mmoja mdogo wa kiume.

Source: Africannews.com

No comments:

Post a Comment

Pages