Dj Khaled awa balozi wa kampeni ya kupunguza uzito - teknomovies
Dj Khaled awa balozi wa kampeni ya kupunguza uzito

Dj Khaled awa balozi wa kampeni ya kupunguza uzito

Share This
Dj Khaled ameuanza mwaka vizuri baada ya kupata dili kupitia mitandao ya kijamii. Star huyo ambae ni mshindi wa Tuzo ya hip hop amepata dili la kuwa balozi wa watu wanaohitaji kupunguza uzito.
Kwa sasa Dj Khaled atakuwa aki 'share' video kwenye mitandao ya kijamii akionyesha namna alivyoweza kupunguza uzito kwa muda mchache.

Kama alivyoimba kwenye moja ya ngoma yake "All I Do Is Win" sasa anatarajia kuwaonyesha wafuasi wake namna ya vitu vinavyowezeakana.

Tayari ameanza kushare baadhi ya video kwenye snapchat akionyesha namna ya kupunguza uzito kwa mtu mwenye uzito usio wa kawaida.

No comments:

Post a Comment

Pages