Shabiki kaamua kufanya upasuaji mara 50 ili afanane na Angelina Jolie - teknomovies
Shabiki kaamua kufanya upasuaji mara 50 ili afanane na Angelina Jolie

Shabiki kaamua kufanya upasuaji mara 50 ili afanane na Angelina Jolie

Share This
Kinacho trend sasa hivi kwenye mitandao ya kijamii ni picha za Shabiki wa Angelina Jolie mwenye asili ya Iran ambae ameamua kufanya upasuaji mara 50 na kupunguza kilo 40 mwilini ili afanane na Angelina Jolie matokeo yake anaonekana kama Bibi wa miaka 70 wakati ni binti wa miaka 19 tu.

Sahar Tabar 19 anatokea Tehran, Iran, amekuwa akiongelewa sana mitandaoni wiki hii, kutokana na wanaotazama picha hizi kwenye instagram yake wamekuwa na maneno mazuri juu ya kitendo chake huku wengine wakimuita ZOMBIE.


Sahar amesema lengo lake kwenye maisha ni kufanana tu na  Angelina Jolie na mpaka sasa amepoteza zaidi ya kilo 40 ili kutimiza lengo lake
Cheki picha zake hapa.












Tucheki instagram @Teknomovies kwa updates mbalimbali

No comments:

Post a Comment

Pages