Picha 15 :Tazama Jinsi The Amaizing Spiderman 2 ilivyotengenezwa#Behind The Scenes - teknomovies
demo-image
s8

Picha 15 :Tazama Jinsi The Amaizing Spiderman 2 ilivyotengenezwa#Behind The Scenes

Share This
Tunakuwa na Good Time pale tunapokaa na kutazama Movie and Offcourse Tunaenjoy Right? lakini ni ukweli kwamba hatufahamu jinsi ambavyo filamu zinatayarishwa. Kama umewahi kutazama Movies za Spider man utakuwa unajiuliza namna ambavyo Spider Man anaruka kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Nimekuwekea hapa Baadhi ya picha jinsi Matayarisho ya The Amaizing Spider Man 2 ilivyokuwa.

s+1

s2

s3

s4

s5

s6
s7
Gari imefungwa Camera ili kuweza kuchukua Shot za Speed (Panning Shot)


s9

s10

s11
s12

s14

s13

s15

Sasa unaweza Kudownload Teknomovies App kupitia Google Playstore ili uwe wa kwanza kupata mastori makali.







Comment Using!!

Pages