Jeeper Creepers 3,Tupo Nayo Sasa#Pakua - teknomovies
Jeeper Creepers 3,Tupo Nayo Sasa#Pakua

Jeeper Creepers 3,Tupo Nayo Sasa#Pakua

Share This
Kabla ya kuachiwa Habari ilichapishwa hapa hapa kuhusu ujio wa Jeepers Creepers sehemu ya 03.
Ilioneshwa kwa mara ya kwanza Septemba 26 na ikaja kuoneshwa tena Oktoba 4 lakini kwa ujumla itaachiwa maeneo mengi Novemba 02 mwaka huu.
Kama kawaida Victor Salva ndiye ameongoza filamu hiyo na kuandika pia ambae pia alifanya hivyo katika sehemu ya kwanza na pili.

Jonathan Breck nae pia amerui kucheza nafasi yake kama Creeper pamoja na watu wengine kama Gina Phillips pamoja na Trish Jenner ambae alikuwa katika filamu ya Kwanza.

Makampuni mawili yameshiriki vyema katika kuandaa huu mchongo ambao unasambazwa na Screen Media Films.
Ukikaa Kutazama basi jua utavunja dakika zako 100 Kamili.

Bonyeza hapo chini Kuweza Kushusha Filamu Hii,


1 comment:

Pages