Nasty C aporwa Laptop,adai ina nyimbo nyingi ambazo bado hazijatoka - teknomovies
Nasty C aporwa Laptop,adai ina nyimbo nyingi ambazo bado hazijatoka

Nasty C aporwa Laptop,adai ina nyimbo nyingi ambazo bado hazijatoka

Share This
RAPA kutoka pande za Madiba “South Afrika” amekiri kuporwa Laptop yake na watu waliokuwa na silaha ambayo ilikuwa ina vitu vingi vya umuhimu ikiwa na pamoja na nyimbo zake nyingi ambazo bado hazijatoka.

Nasty C aliandika jana katika akaunti yake ya Instagram ambapo ametangaza kutoa zawadi kwa yeyote ataefanikisha kupatikana kwa Laptop hiyo ambayo ilijaa mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali anazodai kuzifanyia kazi kwa mwaka mzima

Kama itapatikana ameahidi kutoa kiasi R100,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 16 za kitanzania.

Ameandika katika Instagram: Guys, please help me find my laptop.. it has my music that I’ve been working on for more than a year. I was robbed of it at gunpoint a couple nights ago. If anyone sees this VERY RARE laptop or has any information on where it is, please contact @mabala_noise (0710731146; 0763011973; 0789182220) & report for a R100,000.00 reward. Thank you!
PLEASE REPOST THIS.


No comments:

Post a Comment

Pages