The Game anaongeza Mtoto Wa Nane Tena - teknomovies
The Game anaongeza Mtoto Wa Nane Tena

The Game anaongeza Mtoto Wa Nane Tena

Share This
The-Dream and LaLonne NashFamilia zinazidi kuongezeka zaidi, na Sasa kwa mara nyingine tena ni The Game pamoja na mke wake Lalonne Nash ambao wanategemea kupata mtoto mwingine tena.

Mke wa The Game alipost picha katika akaunti yake ya Instagram ambapo alitanabaisha kua mimba yake mpaka sasa ina wiki 35,ambapo katika picha alikua na mme wake na kuifanya picha ipendeze zaidi.

"Welcoming A new meamber to the Nash Familia " aliandika na kuweka zaidi hivi #35weeks and Counting.
A post shared by THE-DREAM (@thekingdream) on
Mtoto anaefuata atakua wa tatu katika uhusiano wao lakini kwa Upande wa Game, Atakua mtoto wake wa nane ukiunganisha na watoto aliowapata toka mahusiano yake yaliyopita.

The dream aliachia EP yake Ya Love You To Death mwezi Desemba na sasa yupo anaandaa albamu nyingine itayokwenda kwa jina la Love Affair.

Hongera kwa Familia nzima ya The game!

Pages