WANASAYANSI WAFANYA UTAFITI KUPATA VINASABA VYA YESU. - teknomovies
WANASAYANSI WAFANYA UTAFITI KUPATA VINASABA VYA YESU.

WANASAYANSI WAFANYA UTAFITI KUPATA VINASABA VYA YESU.

Share This
Inawezekana kupata vinasaba vya Yesu Kristo? Inaonekana kama si kazi rahisi.

Kwa mujibu wa mtandao wa Yahoo News , baadhi ya wanasayansi wameamua kufanya utafiti lengo likiwa ni kupata vinasaba vya Yesu kristo hapa ulimwenguni.

George Busby kutoka chuo kikuu cha  Oxford ambae anafanya kazi katika chanel inayoonesha historia huku akiwa na kipindi chake kinachoitwa "The Jesus Strand" kilichozinduliwa Jumapili ya April 16.

Busby amedhamiria kufanya utafiti wa vinasaba vya familia ya yesu ikiwemo kupata mabaki ya mifupa ya ndugu wa Yesu Kristo.

No comments:

Post a Comment

Pages