Tarehe 03...Hizi Movies Tatu Kali Zitaachiwa..
1. LOGAN
Hii Ndo Movie Ya Mwisho Kwa Hugh Jackman Kucheza Kama Wolverine.
Ndani Tegemea Kumuona Charles Xavier a. K. A profesa x ambapo Humu Kulingana Na Story Ilivyo Anaumwa Ugonjwa Ambao Unamfanya Ku Lose Controll Ambapo Kwa Mtu Yeyote
Aliyekaribu Anaweza Kumuua.. Na Ndicho Kilichotokea.. Ambapo Aliwaua X-Men Wengine... Na Sasa Wote Wakiwa Pamoja Na Wolverine Ambapo Humu Tunaona Anaumwa Na Ugonjwa Wa Kuchelewa Kupona Inshort Kapoteza Uwezo Wake Ule Wa Kupona Haraka Kutokana Na Umri.
Issue Nzima Ndani Ya Hii Movie, Ni Mtu Mzima Logan Ilibidi Ahakikishe Anawafikisha Salama Nurse Gabriella Na Mtoto Laura Kutoka Mexico Kwenda Eneo Linalofahamika North Dakota...ambapo Walikua Wakiwindwa Na Kundi Moja La Ma Mutant.. Kuna Mziki Mnene Sana Hapo.. Pia Tegemea Kumuona Mtu Mwenye Uwezo Sawa Na Logan.. Huyo Alikua Cloned Aight.
2. BEFORE I FALL
hivi Itakuaje Kama Utapewa Siku Moja Ya Mwisho Ya Kuishi... Ni Kipi Utapenda Ukifanye Cha Mwisho Kwako Kabisa??
Kutana na Mwanamke Kutoka Deutch Samatha Kingston Ambaye Alishindwa Chakufanya Kabisa Katika Maswali Yoote Aliyojiuliza Nini Chakufanya Kwa Siku Yake Ya Mwisho Ilipofika.
3. THE SHACK
Baada Ya Mtoto Wake Kuuwawa, Mr Philips Anakumbwa Na Msongo Wa Mawazo jambo Linalopelekea Kupoteza Imani Juu Ya Mambo Aliyokua Akiyaamini?! Unajua Ni Mambo Gani Hayo??
Tarehe Tatu Kwa Mpigo Michongo Yoote Itadondoshwa.

Tags
# Filamu
Share This
About Swahili Muzik
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
Newer Article
MAMA AMPATA MWANAE KUPITIA FACEBOOK BAADA YA KUPOTEZANA KWA MIAKA 33.
Older Article
MAPENZI YAO YALIANZIA LOCATION, SASA NI WANANDOA.
Filamu Ya Saw Ilishutiwa Kwa Siku 18 Tu, Tena Bila Kufanya Hata Mazoezi Kidogo,Mafanikio Yake Sasa
Swahili MuzikJan 28, 2018Oscar 2018 : Filamu ya Shape of Water inagombea tuzo kwenye vipengele 13
AnonymousJan 27, 2018BREAKING NEWS : Hii hapa list ya wanaowania tuzo za Oscar 2018
AnonymousJan 23, 2018
Labels:
Filamu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comment Using!!