RAMSEY ATOKA KAPA KWENYE TUZO ZA AMVCA 2017. - teknomovies
RAMSEY ATOKA KAPA KWENYE TUZO ZA AMVCA 2017.

RAMSEY ATOKA KAPA KWENYE TUZO ZA AMVCA 2017.

Share This
Rita na Ramsey couple ya watu wawili  waliocheza vema kwenye movie ya "76" (Captain Dewa & Suzie) walitokelezea kwenye red carpet usiku wa ugawaji tuzo za Africa Magic Viewers' Choice Awards(AMVCA 2017).

Kwa bahati Suzie (Rita Dominic) alirudi nyumbani na tuzo ya muigizaji bora wa kike kupitia movie hiyo huku aliyekuwa mumewe Captain Dewa (Ramsey Nouah) ambae alikuwa nominated kwenye kipengele cha muigizaji bora wa kiume hakuambulia chochote baada ya tuzo ya muigizaji bora wa kiume kuchukuliwa na Sambasa Nzeribe.
Ramsey Nouah akiwa na Rita Dominic usiku wa tuzo za AMVCA.


No comments:

Post a Comment

Pages