The Purge Kurudi Tena.
Ile Movie Yako Kali Ya Msisimko Ya The Purge Inategemewa Kurudi Tena Kwa Mara Ya Nne.
Movie Hiyo Bado Story Line Haijafahamika Vizuri Na Ataehusika Katika Ku Draft Story Nzima Ni James Demonaco Ambaye Movies Zilizopita Alihusika Katika Ku Direct Lakini Kwa Safari Hii, Director Atapewa Mwingine.
Movie Inatarajiwa Kutoka July 4 Mwaka 2018 Huku Jina Ikipewa Untittle Next Purge Chapter.
Movie Ya Mwisho Katika Mfululizo Huu Ilitoka Mwaka 2016 Ikipewa Jina La The Purge : Election Year Ambapo Ilifanya Vizuri Sokoni Kwa Kuuza Dollar Million $118.6 Kutoka Budget Ya $10M.

Tags
# Filamu
Share This
About Swahili Muzik
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
Newer Article
AMNYWESHA MTOTO MAFUTA YA TAA AKIDHANI MAJI
Older Article
ALIFARIKI SABABU YA MASTURBATION (KUJICHUA).
Filamu Ya Saw Ilishutiwa Kwa Siku 18 Tu, Tena Bila Kufanya Hata Mazoezi Kidogo,Mafanikio Yake Sasa
Swahili MuzikJan 28, 2018Oscar 2018 : Filamu ya Shape of Water inagombea tuzo kwenye vipengele 13
AnonymousJan 27, 2018BREAKING NEWS : Hii hapa list ya wanaowania tuzo za Oscar 2018
AnonymousJan 23, 2018
Labels:
Filamu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comment Using!!