Imekuwa kawaida kwa dunia ya sasa haswa katika majengo marefu na yenye
ghorofa nyingi kutumia lifti ili kutoa msaada wa kufika katika vyumba vya juu
kwa urahisi, unajua mwanzo wa ubunifu wa lifti zenyewe na mtu aliyeumiza
kichwa?.
Uvumbuzi wa lifti ulifanyika kiasi cha miaka 237 iliyopita. Mvumbuzi wa lifti hiyo ya kwanza alikuwa ni raia wa Marekani anaejulikana kwa jina la John Bikbart. Lifti hiyo ilifanyiwa majaribio kwa mara ya kwanza katika mji wa Chicago nchini Marekani.
Mbali na hilo zipo nadharia kuwa Lift ya kwanza ilianza kutumiwa huko
Ufaransa na mfalme Louis (King Louis) hiyo ilikuwa mwaka 1743 ambapo mfalme
huyo alikuwa na kiti chake alichokuwa akitumia kutoka katika Ghorofa moja
kwenda jingine lakini hii ilikuwa ikifanyika kwa muongozo maalum (manually).
Miaka kadhaa baadae yaani 1915 kampuni ya usanifu majengo ya Otis
Brothers Co ikavumbua lift ambayo inajiendesha yenyewe (Autimatic Lift)
Unataka mastori kama haya yasikupite? Jiunge na Familia yetu kupitia kurasa za Instagram na Twitter @Teknomovies lakini pia Download Teknomovies App ili uwe wa kwanza kupata Update.
No comments:
Post a Comment