Will Smith na mkewe Jada Pinkett wameamua kumpa rafiki yao Tyrese kiasi cha Dola Milioni $5 ili iweze kumsaidia katika kesi dhidi ya mzazi mwenzake.
Kupitia mtandao wa Instagram Will ameandika.
"When we show UP for each-other there's nothing that can't be done I️
repeat nothing...... My wife kept the news away from me cause I've been
on with lawyers all day but our family and our sister Jada-Pinkett Smith
and my brother Will Smith just sent us 5 million dollars to help keep
us afloat," Gibson wrote on Instagram with a collage of photos of the
two men together.
Tyrese na Will Smith ni marafiki wa muda mrefu hivyo ameamua kuonyesha upendo kwa rafiki yake katika kipindi hiki kigumu.

Tags
# BURUDANI
Share This
About Unknown
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
Newer Article
Waigizaji Wakubwa Ambao Ni Mashoga,Kama Ulikuwa Hujui,Ndio Hawa Sasa#Teknofacts
Older Article
Kwanini Uchague Iphone(Ios) Kuliko Android?#Uchambuzi
Picha Ya Utupu Ya Kim Yazua Mjadala Ya Ishu Ya Ubaguzi Na Rihanna
Swahili MuzikJan 30, 2018Exclusive : College Cypher yapokea ugeni wa Mrembo bora vyuo vikuu
AnonymousJan 30, 2018List ya washindi wa Tuzo za Grammy 2018
AnonymousJan 28, 2018
Labels:
BURUDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comment Using!!
Ungana Nasi