Serikali nchini Singapore imepanga kuanza kutoa huduma ya usafiri wa mabasi ambao usafiri huo utakuwa hauna dereva ndani yake. Wakazi katika miji mitatu mipya nchini humo watakuwa wa kwanza kupanda mabasi hayo yasiyo na dereva ifikapo mwaka 2022.
Kwa mujibu wa waziri wa miundombinu wa Singapore Bwn Khaw Bhoon Wan amesema kuwa ifikapo mwaka 2022 wananchi wataanza kufurahia huduma hiyo.
Duru zinaonesha kuwa miaka mitano ijayo wananchi wa maeneo tofauti watapendelea huduma hiyo kwa ajili ya kwenda kazini na kukuza maendeleo katika miji yao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
No comments:
Post a Comment