Kwa sasa mitandao ya kijamii imekuwa mojawapo ya chanzo kikubwa cha habari,ambapo kulithamini hilo mtandao wenye zaidi ya watumiaji Bilioni 2 kwa siku umeamua kuongeza kipengele kipya ambacho kitafanya mwandishi wa makala fulani kuaminika.
Kipengele hicho kimepewa jina la (Trust Indicator) ambapo kitafanya wasomaji kuweza kujua mengi zaidi kuhusu chanzo cha habari,miiko ya habari,Mwandishi husika,na pia kama habari ni yakuaminika.
SOMA PIA:IFAHAMU APP YA KUSOMA HADITHI KWA KISWAHILI
Kipengele hiki kimewekwa katika kurasa maalumu zinazoongelewa kitu fulani kwa mfano unaweza kutazama Teknomovies katika Facebook.
Uwepo wa kipengele hicho kwa kiasi kikubwa utasaidia katika kuboresha habari mbalimbali za uhakika ili watu wanaposoma kuwea kujua taarifa wanayosoma kuwa ni ya ukweli na uhakika na pia imetoka kutoka chanzo cha kuaminika.
Chanzo:Teknokona
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
No comments:
Post a Comment