DISS YA EMINEM KWA TRUMP YACHUKUA SURA MPYA - teknomovies
DISS YA EMINEM KWA TRUMP YACHUKUA SURA MPYA

DISS YA EMINEM KWA TRUMP YACHUKUA SURA MPYA

Share This
Diss ya Eminem kwenda kwa Trump imechukua sura mpya hii ni baada ya mashabiki kuingilia kati kutaka kusikia neno kutoka kwa Kid Rock.


Kid Rock ni msanii anaemsapoti Trump (Trump Supporter) na Eminem ni msanii anaemchukia Trump (Trump Hater) huku wote wakitokea Michigan.

Tweetes za mashabiki wengi leo zimependekeza Eminem na Kid Rock wapambane kwenye kinyang'anyiro cha useneta wa Michigan mwaka 2018 ili m'babe ajulikane.

Tazama Tweets za baadhi ya mashabiki













Usisahau Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Update mbalimbali lakini pia Subscribe Youtube Channel ya DM Online Tv.


Pages