KAMA WEWE NI MUIGIZAJI, POKEA DILI KUTOKA KWA ROSE NDAUKA - teknomovies
KAMA WEWE NI MUIGIZAJI, POKEA DILI KUTOKA KWA ROSE NDAUKA

KAMA WEWE NI MUIGIZAJI, POKEA DILI KUTOKA KWA ROSE NDAUKA

Share This

Rose Ndauka ameamua kutoa shavu kwa watu wote wanaojua kuigiza. Muigizaji huyo amesema yoyote mwenye uwezo wa kuigiza bila kujali umri wala jinsia ajitokeze katika usahili.

Usahili utafanyika March 9 na 10 Makumbusho jijini Dar-es-salaam. Ndauka amesema wanatafutwa waigizaji watakaotokea kwenye series mpya inayoandaliwa... Kama wewe ni muigizaji huu ndo muda wako.

No comments:

Post a Comment

Pages