RAISI AMTEUA MKE WAKE KUA MAKAMU WA RAISI - teknomovies
RAISI AMTEUA MKE WAKE KUA MAKAMU WA RAISI

RAISI AMTEUA MKE WAKE KUA MAKAMU WA RAISI

Share This
Raisi Kutoka Azerbaijan Amemteua Mke Wake Mehriban Aliyeva Kua Makamu wake Wa Uraisi Hali Inayozidi Kuonesha Jinsi Familia Hiyo Inavyozidi Kujitanua Zaidi Katika Madaraka.


Raisi Huyo Ilham Aliyev Amemteua Mke Wake Huyo Hiyo Ni Baada Ya Mabadiliko Ya Kikatiba Yaliyofanywa Nchini Humo Ambapo Nguvu Ya Kiutawala Iliongezeka Zaidi Kwa Makamu Wa Raisi.

Raisi Huyo Ambaye Alirithi Mikoba Toka Kwa Baba Yake Aliyefariki Mwaka 2003,Taarifa Zinatainabaisha kua Mke Wake Ndo Anatajwa Kuja Kuchukua Madaraka Baadae.

No comments:

Post a Comment

Pages