MELI MPYA YA TITANIC II KUZINDULIWA 2018. - teknomovies
MELI MPYA YA TITANIC II KUZINDULIWA 2018.

MELI MPYA YA TITANIC II KUZINDULIWA 2018.

Share This
Tayari baadhi ya picha zimeanza kuachiwa zikionyesha namna ya meli mpya ya Titanic II itakavyokuwa. Titanic yenyewe (origin) ilizama mwaka 1912 na tangu kuzama mwaka huo hakuna mfanano wa meli hiyo kuwahi kuundwa.



Titanic II itakuwa na sehemu za kukaa zaidi ya 800 (cabins), itakuwa na uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 2,400. Itakuwa life jacket kwa kila abiria (Tofauti na titanic I).

Titanic II’ itakuwa na upana wa zaidi ya futi 13 ukilinganisha na Titanic I lakini urefu na uzito itakuwa sawa na ya awali.



Meli hii inamilikiwa na tajiri mmoja kutoka Australia Mr Clive Palmer na inakadiriwa kutumia gharama ya £ 300m na £400m.


No comments:

Post a Comment

Pages