DOWNLOAD HAPA 24:LEGACY EPISODES ZOTE - teknomovies
DOWNLOAD HAPA 24:LEGACY EPISODES ZOTE

DOWNLOAD HAPA 24:LEGACY EPISODES ZOTE

Share This
Hii ndo sehemu ambayo tunahakikisha mizigo yote mikali mikali haikupiti, huu mzigo una Episodes 12 Tu.. Na Taarifa iliyopo mpaka sasa ni kwamba Foxx Wamekwisha upiga Panga huu mzigo, kwa maana hiyo Usitegemee kurudi kwa Season 02.

Watu wengi sana wameonesha hisia zao hasi katika kitendo kilichofanywa na Foxx, kwa kuonesha kwamba hawaijaitendea haki kabisa series hii, pendwa kwa watu. 

Lakini pia taarifa nyingine zinasema Foxx wanampango wa kuja na 24 nyingine, ambayo itakua tofauti na zilizotangulia na baadhi ya waigizaji wa michongo miwili iliyotangulia utawaona ndani. 

Kushusha huu mzigo, katika Episodes 12 Bofya hapo chini. 

Pages