WONDER WOMAN, TOKA 1996 MPAKA SASA. - teknomovies
WONDER WOMAN, TOKA 1996 MPAKA SASA.

WONDER WOMAN, TOKA 1996 MPAKA SASA.

Share This
Wonder Woman... Hii Movie inazidi kumwagiwa Sifa kede kede na mpaka sasa katika box Office ndiyo inayokimbiza Haswa.

Toka budget ya $149M na mpaka sasa mauzo inasoma $228.3M na bado inategemewa mauzo kuzidi kuongezeka zaidi kwani ndo kwanza movie bado mpya ikiwa imeachiwa official June 2nd Mwaka huu.

Wengi wamemsifia sana Gal Gadot kutokana na performance yake ndani na pia matumizi Mbalimbali ya Effects.

Katika hii movie mafanikio haya, hayakuja hivi hivi, kwani hii movie tangu mwaka 1996 ilianza kuandaliwa ambapo mwanamama Patty Jenkins alisaini kua yeye ndiye atakaye direct movie hiyo.
Shooting rasmi ilianza mwaka 2015 na nchi kazi ilikofanyika ni United kingdom, France pia na Italy.

Baada ya shooting hizo mwaka 2016 kazi iliendelea kwa kujazia baadhi ya mashimo ili kazi itoke vizuri zaidi... Kwa minajiri hiyo kwanini kazi itoke vibaya??

Bonyeza HAPA kushusha mchongo mzima.

Pages