KICHANGA CHAZALIWA ANGANI, WAFANYAKAZI WA NDEGE WAGEUKA MADAKTARI. - teknomovies
KICHANGA CHAZALIWA ANGANI, WAFANYAKAZI WA NDEGE WAGEUKA MADAKTARI.

KICHANGA CHAZALIWA ANGANI, WAFANYAKAZI WA NDEGE WAGEUKA MADAKTARI.

Share This
Ukizungumzia kuhusu muujiza basi huwezi kuuacha huu. Takriban futi 42,000 angani, wafanyakazi wa ndege wakageuka kuwa madaktari baada ya kutoa msaada wa abiria ambae alijifungua ndani ya ndege, na baada ya muda tu ndege hiyo ikaongeza idadi ya abiria kwa kumkaribisha kichanga.



Ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la Turkish Airline ilitokea mji mkuu wa Guinea Conakry kwenda Ougadougue Bukina Faso.

Kupitia ukurasa wa Twitter shirika hilo lili share habari kuhusu tukio hilo.


No comments:

Post a Comment

Pages