Lakini katika mtandao huo kuna mambo kadhaa ambayo pengine wengi wanaweza wakawa hawayajui, na sasa tumeamua kukujuza zaidi.
2. Selena Gomez ndio Staa mwenye followers wengi zaidi Duniani.
3. Watumiaji wengi ni Wanawake (64%) ukilinganisha na Wanaume (36%). 4. Clarendon, Juno, na Gingham ndio Filters zinazopendwa zaidi.
5. Muda mzuri wakupost ni :-
Jumapili : 5pm
Jumatatu : 7pm and 10pm
Jumanne : 3am and 10pm
Jumatano : 5pm
Alhamisi : 7am and 11pm
Ijumaa : 1am and 8pm
Jumamosi : 12am and 2am
6. 56% ya watumiaji kwa mwaka wanatengeneza $50,000 au zaidi.
7. Inakadiriwa watumiaji 400 million ndio wako active.
SOMA PIA>>MFAHAMU BINADAMU MCHAFU ZAIDI,AJAOGA KWA ZAIDI YA MIAKA 60
8. Kwasasa Picha maarufu Instagram imefikisha likes zaidi ya Million 11, ambayo niya Beyonce - "Twin Pregnancy Announcement".
9. 48.8% ya Brands Duniani ziko Instagram.
10. 50% ya watumiaji lazima wamefollow Brand moja (Mfano - Nike, Samsung, Dre Beats, Vodacom, Vans etc.)
SOMA PIA:JERAHA KUBWA LINALOMTESA JACKIE CHAN #FAHAMU
11. Inakadiriwa Brands kubwa, kwa wiki zinapost mara 4 hadi 5.
12. Ukimuondoa Snoop Dogg, Kylie Jenner ndio Staa anaeongoza kwakupiga Selfies nyingi. Mara yamwisho alikua na jumla ya Selfies 451.
13. Picha ya Justin Bieber na Will Smith ndio Picha iliyokua na Likes nyingi zaidi Mwaka 2013.
14. Instagram wakati inanunuliwa na Facebook ilikua na Wafanyakazi 13 tu.
15. Hashtags maarufu ni love, beautiful, cute, me, selfie and tbt.
16. #Selfie ndio hashtag inayoongoza kutajwa kwenye Picha nyingi zaidi, kwani utaikuta kwenye Picha zaidi ya Milioni 57.
SOMA PIA:IFAHAMU BALBU INAYOWAKA TANGU MWAKA 1901
17. NIKE ndio Brand yenye followers wengi zaidi Duniani.
18. Marekani, Japan na Brazil ndio Nchi zenye watumiaji wengi zaidi Duniani.
19. Instagram official page ndio Ukurasa wenye Followers wengi zaidi Duniani.
Jen Setler |
SOMA PIA>>MBUZI AKAMATWA KWA KUIBA GARI NIGERIA
Kuna mengine ambayo unafahamu kuhusu mtandao huu?Tuandikie hapo chini katika Sanduku la maoni yako.
Sources:Chakuustaajabisha Account ya Instagram pamoja na Picha kutoka Mtandaoni
No comments:
Post a Comment